Date Range
Date Range
Date Range
SANAA - TAMADUNI - MAZINGIRA Ubunifu, Kujituma na Ushirikiano. Monday, December 7, 2009. Software ya CorelDRAW X4 Kwa ajili ya Graphics ni moja wapo ya Software inayoongoza katika Website mashuhuri, ingawa FLASH hufanya maajabu pia lakini maandalizi ya wallpapers, vectors na background zenye ladha ya kioo, hutoka sana vyema na CorelDRAW . BACKGROUND Hiyo hapo juu imeungwa na vector zenye rangi moja kuu ikiwa official colour ya Clouds FM. Friday, September 18, 2009.
Mashine mpya aina ya ABC ambayo ilitolewa katika ahadi za Rais Jakaya Kikwete tayari imefungwa kwa lengo la kupunguza tatizo la umeme mjini Songea. Mashine hiyo ina uwezo wa kuzalisha megawati 1. UBOVU wa mashine tatu kati ya sita za kuzalishia umeme katika kituo cha TANESCO mjini Songea mkoani Ruvuma umesababisha mgawo mkali wa umeme kwa wakazi wa mji huo. Wanawake 960 wafanyiwa ukatili Ruvuma.